McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,360
- 1,645
Siku zote matajiri huwa hawalii njaa km unavyofikiri. Wale wa kajamba nani ndiyo wanalia lia. Matajiri wanavyanzo vingi vya kupata fedha.walizoea kula bata na kuhonga vitz sasa wamekosa wanasema hali mbaya punguza starehe