Wakuu, hapa ninapokaa, kuna uani mkubwa umezungukwa na nyumba upande mmoja, halafu kuna kamba nimefunga mbele ya mlango wa nyumba ninayokaa.
Sasa kuna mashindano yasiyokuwa rasmi yameibuka, kuna wadada watatu, wanakaa nyumba nyingine -opposite, wakifua chupi zao wanakuja kuzianika mbele ya mlango wangu wakati kwao pia kuna kamba.
Siku ya kwanza nilipoamka asubuhi kuziona hivi, dah, duh, karibu nikimbie, maana chupi si chupi, ngalawa si ngalawa, sijui mtumbwi! zingine kama net, nyuzi2, yaani balaa tupu! Subirini nitaanza kuwapa photos update.
Nimeshindwa nifanyeje, niwaambie wasiwe wanaanika? Maana akija mgeni anaweza asinielewe! Masahibu jamani.
Kuna jamaa yangu aliniambia nizipige up.upu, wakivaa watawashwa halafu hawatarudia tena kuanika. Naupata wapi upp wadau?