Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Huko kwenu vipi?
Ndo kidali poo mkuu. Tumelala nachoHiyo maana ya 'kiwango kidogo' kwangu mimi sio maana halisi kwa sababu kuna standard measurements za ukubwa na uzito na idadi.
Halafu dawa za kupunguza maumivu ni maumivu gani hayo?