Mtaalamu wa virus kwa computer anahitajika

Ukishafanikiwa kufanya installation hakikisha unapiga full scan kikawaida itachukua masaa mengi kukamilisha.

Ikimaliza na ku fix hizo virus bado zile files zilizo kwenye affected volume hazitaweza kuwa visible hivyo utahitajika kufanya mambo mawili kulingana na operating system yako ilivyo.

Utafungua hiyo volume ambayo imekuwa affected kisha uta tafuta option ya hidden item utaiwekea tick halafu utaviona hivyo vitu ambavyo unavitafuta.

Ukishindwa hapo kuziona utahitajika ku search folder ambalo unalikumbuka lililokuwa kwenye hiyo volume ambayo imaethiriwa na virus. Ukishaliona uta right click na kufungua open folder location hapo utaziona zote. Kwa hiyo utachohitajika kufanya ni kuzi excute kwa ku Cut na kuja kuzi paste upya kwenye home screen ya hiyo volume
 
Jaribu kufanya haya kutatua tatizo la shortcut virus na file Hiding

1. Ondoa Hidden Attributes

Ingiza flash/external yako.

Fungua Command Prompt (CMD) kwa β€œkuRun as Administrator”.

Andika komandi hii (badilisha X: na drive letter ya flash yako, mfano E:

attrib -h -r -s /s /d X:\.

Hii itafanya mafaili yote yaliyokuwa yamefichwa yaonekane tena.

2. Download hizi antivirus zinaweza kukusukuma

Bitdefender Free Edition

Avast Free Antivirus

Kaspersky Security Cloud Free

All the best mkuu
 
Nakuchek now pm mkuu
 
Rudia kupiga window, kisha baada tu ya kupiga , kimbilia kwenye file la window.old na ufute
Piga window 10 kwa sababu kwenye ulinzi iko vizuri
Hapana napiga window tena mkuu..
Aiseee huyu virus hajawahi tokea an hapa ilifuta window ndo tunapiga tena hapa an...

Ngoja tutafnya hvo
 
Na file la window.old halifutwi kwa ku-delete, vitafutika vichache sana
Nenda YouTube ucheki jinsi ya kufuta hilo file kwa command
Sema mkuu hii shida ww ushawai ona sehemu yaan ukiweka flash vtu avionekanai mpaka u searched
 
Shukran mkuu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Unatumia OS ipi na version ipi ?
kama hutojali, nikutengezee automation script ya kukabiliana na hiyo kadhia.. natengeza kwa kutumia Python.. Utacho hitaji ufanye setup za python kwenye OS yako
 
Unatumia OS ipi na version ipi ?
kama hutojali, nikutengezee automation script ya kukabiliana na hiyo kadhia.. natengeza kwa kutumia Python.. Utacho hitaji ufanye setup za python kwenye OS yako
Umeongea kitaalamu hapa aiseee
 
Unaweza fanya installation ya python kwenye computer yako ? nikutengee script uki run mala moko utapata majibu 😁😁
We jamaa as if unaongea na mtaalamu sasa mi python naijulia wapi kama C ++ nilifeli mapema kabisa hata sijui na run vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…