Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,144
Mkuu siwezi format disk yote aina vtu aiseee hapa nimepiga window locol disk cUlivyopiga windows uliformat hiyo disk? Au ulipiga tu
Hapo hapo kwenye lc c format ndio upige sio unaweka tu hapo hapo kirusi kinakuwa hakitokiMkuu siwezi format disk yote aina vtu aiseee hapa nimepiga window locol disk c
Naona aliformat kaka.. hivi u aweza kupiga window bila kufanya format ya local disk c..?Hapo hapo kwenye lc c format ndio upige sio unaweka tu hapo hapo kirusi kinakuwa hakitoki
Nielekeze hii ni ant virus auMalwarebytes umeitumia?
Ndio Inawezekana unapiga tu bila kuformat ndicho alichokoseaNaona aliformat kaka.. hivi u aweza kupiga window bila kufanya format ya local disk c..?
Alafu kuna hii ant virus ya KASPERSKY unayo mkuu
Ndio ni antvirus unatumia window 10 au 11 scanned windows defender yakoNielekeze hii ni ant virus au
Vipi storage yako hajaficha pia mkuu au ni files tu ?Nielekeze hii ni ant virus au
Kaspersky ni antivirus sio virus
Hiyo mdio ant virus sasa iweje tena ndio iwe virus ? Paleka usaidiwe kuna shida hapo ....pia format lazima kabla kuanza kusafishaWakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa..
Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search.
Hatua ya kwanza niliyofanya nilipiga window ila wapi..
Nipo katika hatu ya pili hapa ya kudownload ant virus..
Msaada wakuu kwa mwenye free ant virus ambayo ni strong kama hii Kaspersky
Vishu Mtata nisaidie kutangaza ujue leo sijafanya kazi kabisa plus kesho inabidi niende kinyerezi nikakutane n salome
Kaspersky ndiyo ant virus, sasa unataka ant virus ipi tena?Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa..