Anahitajika mtaalam wa ving'amuzi nahitaj ni king'amuzi gani kwe bei rahisi naweza kuona ligi ya Uingereza British premier league.. kama kuna any mtaalam "fundi" wa kuchakachua call me 0767347080
Na mimi nipo dar hebu nisaidie huyo fundi.kila fundi ana bei yake mkuu.ngoja nikupe no ya fundi hapo kilosa anaweza kukusaidia
ukipata mtaalam atakufungia astra28e ambapo kuna chanel imepata kibali cha kurusha ligi ya uingereza
ukipata mtaalam atakufungia astra28e ambapo kuna chanel imepata kibali cha kurusha ligi ya uingereza