suley hazard
Member
- May 19, 2014
- 61
- 116
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mtaalamu wa fani ya sayansi na teknolojia ya usindikaji wa chakula (BSc. Food science and technology) kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (graduate). Natoa huduma yaelimu na ushauri kuhusu usindikaji wa aina zote za vyakula, kuwasaidia wafanyabiashara na wajasiriamali kujisajili katika mamlaka husika zinazosimamia ubora na viwango vya vyakula vilivyosindikwa kama vile TBS, TFDA.
Kutoa mafunzo jinsi ya kusimamia uzalishaji na ubora, kusanifu documents na checklist mbalimbali zinazohitajika katika viwanda vya usindikaji chakula, kutoa elimu ya mazingira, usalama na afya kwa wafanyakazi wa maeneo y chakula. Pia natoa ushauri juu ya upatikanaji wa material mbalimbali za uzalishaji na matumizi salama na bora ya vifungashio.
Pia kwa wale ambao tayari wameshaanza uzalisha na usindikaji, nawafanyia product development na sensory evaluation ili kuongeza ubora wa bidhaa zake. Kwa wale wenye uhitaji karibuni PM ili kwa pamoja tuijenge Tanzania ya viwanda na tuinue uchumi wetu binafsi.
Wassalaam