Mtaalamu wa Nyuki

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wadau..

Natafuta mtaalamu wa kunivutia nyuki shambani kwangu. Kama kuna mwenye mawasiliano naomba msaada.

Shamba liko Mkuranga na malipo nitafanya baada ya nyuki kuhamia kwenye mizinga yangu sababu nishatapeliwa na wataalam hewa.
 
Nimeshindwa kukutumia PM, kama upo serious njoo PM. mtaalamu yupo nakupa mawasiliano yake.
 
shida nyuki waje au umaintain nyuki kwenye shamba,km jibu ni la pili kazi si ndogo,km jibu ni la kwanza kazi itakua ndogo kwa mtaalam husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…