felijose
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 201
- 59
Tunatafuta mtu mwenye skills kwa vitendo wa kufix/setup ubuntu linux 14.04 LTS servers kwa ajili ya data center . Contract ni ya week mbili.. ikiwezekana kuanzia next week.
Location ni Unguja Zanzibar
Addition skills
Cephs storage
Apache tomcat configuration
Automated Data back up
Kama wajua mtu mwenye skills hizo au unazo niinbox... au nipigie kwa number 0766545878 then nitakupa maelezo zaidi..
Please ni kwa mtu mwenye skills na mzoefu pia..