Anahitajika mwalimu wa kike kwa muda mfupi

Anahitajika mwalimu wa kike kwa muda mfupi

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,888
Reaction score
9,782
Anahitajika mwalimu wa kike kwaajili ya kumfundisha kusoma na kuandika mama mwenye umri wa miaka 35+.

Mafunzo tunategemea ndani ya mwezi mmoja mwanafunzi atakuwa anafahamu kwani ana idea hivyo tunataka mtu wa kukazia maarifa tu.

1.sifa awe na taaluma ya ualimu.
2.awe nauwezo wa kujieleza na fundisha akaeleweka kwa urahisi.
3.asiwe na majukumu mengine ambayo yatamuondolea umakini muda wa kazi.
4.muombaji awe mbeya mjini
5.umri wowote

-malipo makubaliano.

UPDATE
Nimempa wadau,ahsanteni kwa mliomba.

Ushauri tujaribu kufuata maelekezo(kuyasoma na kuelewa) yanayotolewa kuliko kukimbilia kuchukua namba ya simu tu.
Mtu unapiga simu unaomba namba ya mke wa mtu tena afadhali ingekuwa mchana sasa usiku wa saa tisa.

Kutokufuata maelezo kunakufanya usiwe competent na ukawa disqualified hata kama una A+ au GPA nzuri.
 
Anahitajika mwalimu wa kike kwaajili ya kumfundisha kusoma na kuandika mama mwenye umri wa MIAKA 35+.

5. UMRI WOWOTE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom