Mtaalamu wa 'Landscaping' Anahitajika

Mtaalamu wa 'Landscaping' Anahitajika

Mzalendowetu

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
87
Reaction score
36
Ninahitaji mtaalamu atakayenisaidia ku-design landscape kwenye nyumba yangu iliyopo Mbezi Msumi. Nyumba ipo kwenye kiwanja ambacho upande mmoja kuna mteremko na msingi mrefu. Naomba uni-PM kama ni wewe au kuna mtu mzuri katika kazi hii unayemfahamu
 
Back
Top Bottom