Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Nahitaji ambaye anajua/anaweza kutengeneza website ambayo naweza kupload mp3,naweza kupload video bila kutegemea video player ya youtube,nikimaanisha siyo kudownload video kwanza youtube then kwenye site,yaani video player ya kujitegemea na mp3,na kuwe na uwezekano wa kucoment chini ya video au mp3 kwa njia facebook members na members wa website lenyewe.
Naweza kupa sample ya website.
Naweza kupa sample ya website.