James Hungury JF-Expert Member Jun 8, 2013 825 612 Apr 10, 2015 #1 Habar wana JF. Ninatafuta mtu aliye mtaalamu wa kutengeneza website, tafadhali kama kuna au watu unawafahamu wanaohusika na kazi hii, naomba ni Inbox. Ahsante!
Habar wana JF. Ninatafuta mtu aliye mtaalamu wa kutengeneza website, tafadhali kama kuna au watu unawafahamu wanaohusika na kazi hii, naomba ni Inbox. Ahsante!
Michael Ngusa JF-Expert Member Aug 4, 2014 1,637 458 Apr 11, 2015 #2 Investigator said: Habar wana JF,ninatafuta mtu mwenye utaalamu wa kutengeneza website,,tafadhar naomba ani inbox.ahsante Click to expand... 0789 741582
Investigator said: Habar wana JF,ninatafuta mtu mwenye utaalamu wa kutengeneza website,,tafadhar naomba ani inbox.ahsante Click to expand... 0789 741582
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Jul 14, 2013 9,873 8,894 Apr 11, 2015 #3 Ninae mmoja ila yupo Kenya. Sasa kama unataka nikuunganishe nae
Aqua JF-Expert Member Jul 23, 2012 1,658 1,229 Apr 13, 2015 #7 John Ezekiel said: 0789 741582 Click to expand... Ndugu kiusalama tunashauri unapompa mtu namba mtumie private message(PM) na si kuweka peupe ataitumia yeye na wengine usio wajua,hujawahi kupata matatizo wewe?
John Ezekiel said: 0789 741582 Click to expand... Ndugu kiusalama tunashauri unapompa mtu namba mtumie private message(PM) na si kuweka peupe ataitumia yeye na wengine usio wajua,hujawahi kupata matatizo wewe?