Mtaalamu wa kudesign logo kwaajili ya logo ya company anahitajika kwa yoyote mwenye utaalamu plz anipe Cost yake, itachukua muda gani? Na anapatikana wap? Bila kusahau kunionesha japo logo sample's kidogo nanaharaka coz nahitaji kumalizia maswala ya TRA.
Naweza kusaidia kwa hilo,niPM jina la biashara yako na inajihusisha na nini,baada ya siku mbili ntakutumia Logo yako..malipo utapanga mwenyew baada ya kuipata...Hii pia ni kwa mwingine yeyote mwenye uhitaji wa logo au vitu vingine kama business cards etc.

jina SAMAWATI COMPANY LTD Ina mambo yafuatayo
*stationars
*biashara ya mazao ya chakula na mifugo
*mavazi na uuzaji wa vifaa vya ujenzi.
ila iwe ni logo inayosadifu tafsiri ya jina husikajina SAMAWATI COMPANY LTD Ina mambo yafuatayo
*stationars
*biashara ya mazao ya chakula na mifugo
*mavazi na uuzaji wa vifaa vya ujenzi.
Mtaalamu wa kudesign logo kwaajili ya logo ya company anahitajika kwa yoyote mwenye utaalamu plz anipe Cost yake, itachukua muda gani? Na anapatikana wap? Bila kusahau kunionesha japo logo sample's kidogo nanaharaka coz nahitaji kumalizia maswala ya TRA.
DUH WATZ NAONA MAMBO YA SIKU 2 HAYO,biashara ngumu bwana mhuuujina SAMAWATI COMPANY LTD Ina mambo yafuatayo
*stationars
*biashara ya mazao ya chakula na mifugo
*mavazi na uuzaji wa vifaa vya ujenzi.