Ha ha ha haa kazi hii anaiweza
farkhina. ..hivo viazi usisahau kuviweka na ndimu + pilipili km mpenzi wa mchapuko!!....baada ya kuvifunga tapakaa unga ngano (mkavu usijemix na maji)/unga tosi then weka karai la mafuta kupikia jikon wacha yapate banja mayai kwenye bakuli km mawili utachovya na kuchoma...katles tayar kwa kuliwa...
amu...sijui ndo ulitaka kumalia hivyo?!
😉