Nitafute mkuu ukishafika, mi ndio mchawi wa hayo madude, kuanzia kutengeneza map kwa kudigitize kwa kutumia digitization table hadi kwa ku upload data kutoka kwenye GPS. Map info hapa ndio head quarter yake kuanzia kupanga cosmetic layer tofaut hadi kutengeneza DTM (digital terrain model) hiyo program ni ndefu kama utafundishwa kwenye chuo, ila akikufundim mtu kama mimi wiki 1 inatosha na wewe kuwa mtaalamu. hata ukitaka Auto CAD, Arch CAD hapa ndio vitu navyocheza navyo. wewe tu na mfuko wako