mzungu wapink
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 112
Anachosema inaenda sawa na jina lake. Ni mwongo.
HIV inaambukizwa kwa ngono na mtu yeyote asikudanganye.
Kwa yule aliokuwa anayo HIV, Hizi virusi zinapatikana kwenye; Damu (ikiwa ni pamoja damu ya hedhi), Semen, Secretions ya Uke na Maziwa ya matiti. Hivyo basi, mtu aliyokuwa anayo HIV atamwambukiza mwenzie kwenye ngono kwa urahisi tu.
Mtu anaweza kuwa na virusi vya HIV lakini asikuwe na Ukimwi. Ukimwi ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya HIV. Lakini huwa mtu anaweza akapata virusi vya HIV ikakaa bila dalili alafu baada ya miaka kadhaa inaanza kuonesha dalili ya Ukimwi, Hiyo inatokea mara chache.
Asante.
Swali langu kwako, je ni dawa gani itakayosaidia mtu mzima 55yrs kuongeza protein kwa haraka !!?Dawa ya fangasi kwenye mdomo ni: Miconazole Oral Gel. Inabidi upakae mdomoni kutwa mara mbili
Maumivu wakati wakukojoa, kama ulivyoambiwa hospitalini unayo UTI. Dawa zake hizi hapa:
1. Amoxiclav 500mg kutwa mara mbili kwa wiki moja. (inaondoa vimelea)
2. Cital liquid kunywa kutwa mara mbili kwa wiki moja. (inapunguza maumivu kwenye mkojo)
3. Kunywa maji kwa wingi (inapunguza idadi ya vimelea.
Maumivu ya kichwa na flu. Je unayo homa pia? na ukoo inauma pia?
Maumivu makali ya kiuno inatokea saa ngapi?
Eti kuna dawa ya vidonda vya tumbo ya hospital inayotibu Kbisa maana nasikia zinapooza tu baada ya muda vinaanza ..je ni nini chanzo cha vidonda vya tumbo??
Wadau siku za nyuma nilikuja hapa na tatizo la kukosa choo, tumbo kujaa gesi. Tatizo mpaka leo bado lipo. Na mwezi ulioita nimefanyiwa kipimo cha OGD Endoscopy.Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Dr mimi napenda kuuliza kukojoa damu mwishoni mwa mkojo niugonjwa gani huo na jeunatibiwaje?Habari wakuu,