Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 416
Dawa unayoiamini kuwa inatibu kabisa vidonda vya tumbo tafadhari.. hasa home made(mbadala) au yakisasa
Mm napenda kuuliza swali langu hili.
Jee kuna dawa ambay inaweza kunisaidia kwenye tatiz la U T I maana kiuno kinanisumbua na wakat napima nimeambiw nna U T I .NAOMBA KAMA KUNA DAWA NZUR
Dawa ya fangasi wa sehemu za siri walioingia mdomoni au kwenye ulimi na kuleta hali kama mtu aliyeungua uji au chai kwenye ulimi lakini hakuna maumivu hata kidogo.
mkuu hivi ni kweli kisukari ni ugonjwa ambao unarithi/unakuwepo kwenye ukoo fulani?
Naomba kuuliz inawezekan mtu akatumia vidonge vya kutoa mimba na baada ya mda akablidi ila baada cku kadhaa mimba ikawa bado haijatoka??? Msaada please
Ninatatizo la meno je ntapata dawa ya kutibu meno