Mtaalamu wa database huyu hapa

Mtaalamu wa database huyu hapa

Wanajf kuna rafiki yangu anatafuta nafac ya kutengeneza database kwa makampuni yoyote, na pia yupo vizuri sana kwenye;

1.microsoft word

2.microsoft excel

3.microsoft powerpoint

4.microsoft access (database)

5.internet

Anapatikana Dar es salaam. Pia hata kufundisha yupo tayari.

Much thanks.

Kiukweli kama anaweza database na anapenda ku deal na database basi mshauri ajitahidi asome na computer programming pia. Maana kwa sifa hizo ulizoorodhesha hapo, sidhani kama zinatosha kwa yeye kudesign na kudevelop database system ambayo itaendana na matakwa ya kisasa.......

Huu ni ushauri wangu tu, because I'm the expert on that area.......
 
Kiukweli kama anaweza database na anapenda ku deal na database basi mshauri ajitahidi asome na computer programming pia. Maana kwa sifa hizo ulizoorodhesha hapo, sidhani kama zinatosha kwa yeye kudesign na kudevelop database system ambayo itaendana na matakwa ya kisasa....... Huu ni ushauri wangu tu, because I'm the expert on that area.......
;

ushauri mzuri, thanks
 
Back
Top Bottom