Mtaalamu wa database huyu hapa

Mtaalamu wa database huyu hapa

Kaka umeona, unaweza oracle, mysql ? Andika kwanza code moja ya sql ya kucreate user na ku grant privilege kwa user. Teh teh

Unachokitaka ni nini mkuu mbona ckuelewi.
 
elimu ya tanzania kweli tumefika pabaya yani mtu amesoma miaka minne chuo ame graduate...degree ya computer science....na amesoma somo database management system....halafu chuo amefundishwa
1.microsoft word,excel,power point......pole sana kaka .....

Ushauli wangu kasome course...inaitwa sql , mysql na oracle ....huu ndo msingi wa databases system na oracle ambayo iko common used maofisini ni oracle 11g.....kupata software yako nenda website kai download

Hizo ms word,excel etc ni addition point mkuu so ucjali sana.
Delivered.
 
Wanajf kuna rafiki yangu anatafuta nafac ya kutengeneza database kwa makampuni yoyote, na pia yupo vizuri sana kwenye;
1.microsoft word
2.microsoft excel
3.microsoft powerpoint
4.microsoft access (database)
5.internet

Anapatikana Dar es salaam.
Pia hata kufundisha yupo tayari.
Much thanks.

Mkuu hiyo database anatumia language gani kuiandaa??ebu toa maelezo ya kutosha kidogo.
Hayo mambo ya ms office package,sifikiri kama ni sifa moja yapo ya Mtu wa ICT kujitangazia,hiyo kila na hata ambaye siyo mwana ICT anamudu hivyo vitu.Ebu jikite maelezo yako kwenye proffesional moja kwa moja.
 
I'm sechonge mussa H . I have graduated diploma in information technology at the institute of accountancy arusha in recent year 2014 well in preparing database and webdesign, using of dreamweaver,java script and Php my phone no 0769834469
Email sechongemussa@gmail.com thanks

Hyo ndiyo maelezo ya kitaalamu ambayo tunapenda kuyasikia.
safi sana mkuu.
 
Jamani kama mnawapa kazi wapeni achenikujidai mnajua, madogo komaeni tu! Mtatoka pia tumieni kitu kinaitwa File maker kwa ajili ya Database itasaidia sio lazima uumize kichwa eti ukasome mamysql n.k mm nimetengeza Database kwakutumia File maker na mamlaka ya bahari ya indi wakaikubali nilitumia sikumoja nkavuta Euro 5000 Cash.
 
Kaka umeona, unaweza oracle, mysql ? Andika kwanza code moja ya sql ya kucreate user na ku grant privilege kwa user. Teh teh

Haa jamaa kakimbia kwnye hili, ngoja agugo atarudi, tanzania bwana, dah nmesoma Ifm It mpaka natoka wanafundisha tu website ama, ndo mana watu wote hapa nchini wanakimbilia kutengeneza websites na blogs, kazin ndo nmejifunza kumbe kuna vingi sna apart from websites
 
Mi nimesoma ict mzumbe bora nyie hata hyo website mmefundishwa, ni majanga ndugu yangu, chuo najiona nilifuata cheti tu mambo mengi ya IT nimeyajua mtaani na kukomaa mwenyewe.
 
Umemaliza mwaka gani?
 
Haa jamaa kakimbia kwnye hili, ngoja agugo atarudi, tanzania bwana, dah nmesoma Ifm It mpaka natoka wanafundisha tu website ama, ndo mana watu wote hapa nchini wanakimbilia kutengeneza websites na blogs, kazin ndo nmejifunza kumbe kuna vingi sna apart from websites

M2 wangu unalazimisha nicheze mpira sebuleni badala ya uwanjani so ngoja nipate kiwanja ndio uone kaz yake.
 
Mkuu hiyo database anatumia language gani kuiandaa??ebu toa maelezo ya kutosha kidogo.
Hayo mambo ya ms office package,sifikiri kama ni sifa moja yapo ya Mtu wa ICT kujitangazia,hiyo kila na hata ambaye siyo mwana ICT anamudu hivyo vitu.Ebu jikite maelezo yako kwenye proffesional moja kwa moja.

Database language SQL.
 
Wapendwa,Mimi nina kazi kwa wataalamu wa Accountancy/Business database. Nina duka langu la electronics equipment ambalo lipo Arusha lakini mimi nipo Mwanza hivyo kuna vitu vinatumwa na kuuzwa huko huko hivyo Napata shida sana kila baada ya miezi miwili naenda kuhesabu na kutoa ili nijue ni vingapi viliingia, vimenunuliwa na mapato...kama kuna mtu anaweza kutengeneza Database ambayo ni user friendly nipo tayari kufanya nae deal....ili mzigo ukiingia unaingizwa kwenye DB na ukiuzwa unatoa direct na balance inaonekana lakini pia mapato yanaonekana moja kwa moja maana kama tunavyojua bei ya vitu huwa ipo flexible.
 
nadhani ni inventory control system
 
naweza kukutengenezea hyo kitu ila nipo dar.
 
SELECT name FROM table WHERE name LIKE babayaro. Sql sucks!
 
We Sechonge una undungu na sechonge family ya keko machungwa.?!
 
Back
Top Bottom