Mtaalamu wa Corporate Finance and Lawyer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalamu wa Corporate Finance and Lawyer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mhafidhina, Oct 18, 2009.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanajamii...!

  Najileta kwenu nikitafuta kazi kwenye banking sector. Mimi ni mtaalamu wa Corporate Finance (Debt and Equity), Sharia Finance (Islamic Banking) lakini pia mimi ni Mwanasheria. Ninauzoefu wa kazi mwingi nilioupata nje ya nchi nilipokua nimeajiriwa.

  Kwa sasa po Tanzania na natafuta kazi haswa on Banking sector or any Law firm inayofanya mambo kama hayo.

  Naombeni msaada wenu kama mnafahamu Bank/Law Firm inayohitaji utaalamu huu.

  Just PM me.
   
 2. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nenda Malaysian Bank iko kisutu ...wanaweza kuhitaji mtu mwenye ufahamu wa sharia law..katika benki yao...just try.
   
Loading...