Mtaalamu anayejua software za Photoshop na Illustrator anahitajika

Mtaalamu anayejua software za Photoshop na Illustrator anahitajika

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
2,846
Reaction score
2,512
Habari,

Ndugu zangu waswahili wanasema ridhiki ni kugawana,sasa anahitajika mtu anayejua hizo software kwa ajiri ya kumfundisha mtu mwingine, kwa hiyo kwa mtu yeyote anayejua au unamfahamu anajua na ana uwezo wa kumfundisha mtu taarifa zimfikie.

Location ya eneo la mtu anahitaji kufundishwa ni Goba, so anahitajika mtu ambae atakuwa na muda na kuhusu nauli na malipo kwa course ni gharama za mfundishwaji.

Mawasiliano; 0713132109 (WhatsApp).
 
Ingia www.Udemy.com lipia dola 10 tu, course utapata from beginner to advanced courses.

Kwa softwares za Adobe tafuta Instructor mmoja anaitwa Daniel Walter Scott, ukichukua course zake utakuwa vizuri fasta sana
 
Tatizo mtu mwenye anataka afundishwe bila kuingia huko yote hayo nimemwambia
 
Huku akiwa ana msubiri mtaalamu mwambie aanze kupitia YouTube kuna tutorial nyingi sana nzuri.

Au ndio wakutafuniwa oriented?
 
Okay sema mkuu mimi nimetingwa na roject moja ila huyo mtu atapata tu wakumwelekeza sababu dar wapo wengi tu, kuna jamaa ntampa namba yako atakuchek..
 
Back
Top Bottom