Hebu kuweni serious watu tupo na utaalam zetu huyo mtu anahitajika wapi na mkoa upi kwa muda gani na malipo yanakuaje please clarify
Mi naweza fanya hyo ndo nimegraduate mwaka huu nimesoma psychology,ila mi nina umbo dogo sana na huwa sipendi dharau kwan naweza mchapa mtu mkofi ile hali mda mfupi tulikuwa tunaongea kwa amani kabsa,if interested ni pm