Mtaalam wa landscaping

Mtaalam wa landscaping

Annina

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
437
Reaction score
59
Salaam wapendwa,
Natafuta mtaalam mwelekezi wa landscaping

Shukran

Annina
 
Dada Annina,
Nenda pale Chuo cha Ardhi,utapa wapo tele na bei zao poa sana,
Maana wao wanataka wajazie pocket money tu,lakini ukitafuta wale wenye maofisi yao hiyo pesa yake lazima ukimbie wakati hata mwanafunzi wa mwaka wa tatu tu anakupigia poa tu.
 
ok sasa hao si bado wanapiwka watakuwa na utaalamu wa kutosaha ? ila akipata na mimi nahitaji anifanyie kwa gharama ndogo
 
Wewe uko wapi maana wataalamu wapo wengi kama Mimi nipo Arusha na bei ni maelewano tu.
 
Dada Annina,
Nenda pale Chuo cha Ardhi,utapa wapo tele na bei zao poa sana,
Maana wao wanataka wajazie pocket money tu,lakini ukitafuta wale wenye maofisi yao hiyo pesa yake lazima ukimbie wakati hata mwanafunzi wa mwaka wa tatu tu anakupigia poa tu.

Zanzibar Spice, asante sana kwa ushauri, nitawatafuta vijana, tena wapo likizo sasa itakuwa pouwa!

Shukran,
Annina
 
Dada Annina,
Nenda pale Chuo cha Ardhi,utapa wapo tele na bei zao poa sana,
Maana wao wanataka wajazie pocket money tu,lakini ukitafuta wale wenye maofisi yao hiyo pesa yake lazima ukimbie wakati hata mwanafunzi wa mwaka wa tatu tu anakupigia poa tu.

Mkuu kile hakiitwi "chuo cha ardhi" ila kinaitwa "CHUO KIKUU ARDHI". Usije ukarudia tena hilokosa kwani unaweza kufungwa miezi 9 jela au fani ya shs. mil 6 au vyote kwa pamoja.., sawa..?
 
Mkuu kile hakiitwi "chuo cha ardhi" ila kinaitwa "CHUO KIKUU ARDHI". Usije ukarudia tena hilokosa kwani unaweza kufungwa miezi 9 jela au fani ya shs. mil 6 au vyote kwa pamoja.., sawa..?

mkuu umenifurahisha na kunikumbusha kitu,,,niko pale bsc.land manag. N valuation na niliwahi fanya mistake kama iyo kwny assignment badala ya kuandika 'INTRODUCTION TO VALUATION' as course name me nikaandika 'VALUATION INTRODUCTION',,alichofanya lecturer wangu hakunijazia chochote kwny course work ikabidi nimfuate department,,,nikakuta wapo ka wanne ivi nikapewa risala na explanationz ya nguvu almost half an hour just for such a mistake!!nilijifunza aisee
 
Salaam wapendwa,
Natafuta mtaalam mwelekezi wa landscaping

Shukran

Annina

wapo jamaa wa mwaka wa 4 wako competent sana na ni cheap comparing to waliopo kwny system,,,mimi niko chuo kikuu ardhi pia but fani tofauti,,,unaweza nipm kwa ajili ya kukuunganisha nao
 
Back
Top Bottom