Mtaalam wa kutengeneza Cripsi za ndizi

Mtaalam wa kutengeneza Cripsi za ndizi

Hongera kwa kutengeneza ajira kwa vijana!
Kwa maoni yangu,Cripsi hazihitaji utaalamu kiviiile unaweza ukanunua vifaa ukamwelekeza kijana yoyote akafanya!
 
Sawa sawa unaongeza na chumvi,Sasa hapo kunahitaji utaalamu gani zaidi ya maelekezo?
Sometimes mtu unakosa muda, mi mwenyewe huwa natamani kupata mtu wa kunitengenezea vitu vya kula kula crips, kashata nk nk ila sijawahi kupata.

Kuna vingine najua ila muda nakosa especially katikati ya wiki.
 
Back
Top Bottom