Mtaalam wa kubadilisha gari

Mtaalam wa kubadilisha gari

mfereji

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Wanajamii,

Nina rafiki yangu amepata ajali na kupooza miguu yote. Anaomba kama kuna mtu anajua au anajua fundi anayeweza kumodify gari yake ili aweze kuiendesha kwa kutumia mikono-yaani breki na accelerator ziwe controlled kwa mikono. Gari yake ni automatic.

Anaomba sana kwani anashindwa kujipatia mkate wake wa siku kwa kushindwa kutembea.
 
Mpe pôle sana watakuja wenye taaluma yao hapa
 
Kuna jamaa pale mlimani CoET nimemuona akifanya hzo kazi mara mbili tatu hivi, kama vp nipm namba yako nikimuona J3 ntampatia muongee
 
Duu mi ndio kwanza nasikia mambo hayo hapa tz ila kenya niliwai kuona kabisa
 
Back
Top Bottom