Mtaalam wa Graphics Design huyu hapa

Mtaalam wa Graphics Design huyu hapa

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Natafuta kazi ya Graphics Design,ni mzoefu sana kwenye shughuli hii,nimefanya kazi nyingi za Graphics kama kudesign artworks kwa ajili ya mabango(Billboards),CD/DVD covers,Logos,etc hivyo nna uzoefu wa kutosha.Kwa yeyote mwenye interest ya kufanya kazi na mimi anitafute kwa hii namba 0717995793.View attachment 135188
 
Mkare wetu ungetupiaga kazi zako humu kama yule wa loggo
 
Kaka kwenye mpangilio wa rangi bado huja qualify, fanya juhudi kwenye rangi na creativity
 
Back
Top Bottom