Utakufa kwa mawazo ya uislamu.core subjects hakuna sciences ila kuna business admin, ndiyo ujue muslims na uchuuzi ni chanda na pente, dunia nzima inawekezeka kwenye maths and sciences vs tanzagiza and arab countries business admin, ni mwendo wa mafremu tu in 21st century ...
Utakufa kwa mawazo ya uislamu.
Kasome kwanza history ya sayansi na uislamu.
Huna akili
Acha kupotosha ndugu Physics, Chemistry na Biology ni masomo ya kuchagua sio lazima. Karibu mm mission yang ni kutoa elimu hasa kwa gen zHamna kitu hapo:
Mtaala ni Physics, Chemistry, Mathematics, Biology, English, Civics, History, Geography, Kiswahili,
Embu elezea vizuri hapa yaaaani masomo ya lazima ni yapiAcha kupotosha ndugu Physics, Chemistry na Biology ni masomo ya kuchagua sio lazima. Karibu mm mission yang ni kutoa elimu hasa kwa gen z
Imekaa njema sana.Masomo ya lazima ni
Historia ya Tanzania na Maadili [HTM]
Business studies
Basic Mathematics
English language
Kiswahili
Geography
Masomo 6 tuu. Ili mwanafunzi apate daraja na kupata sifa ya kufanya mtihani inabidi aongeze Masomo mawili yawe 8.
Anaweza kuchagua
Physics
Chemistry
Biology
History
Sport studies
Computer Science
Arabic
Chinese
Bible knowledge
Elimu ya dini ya kiislamu
Literature in English
Fasihi ya Kiswahili
French
Bookkeeping
Food and nutrition
Music
Fine arts
Performing Arts
Inategemea kama hayo Masomo yapo shule anayosomaa