swahibu ramadhani
Member
- Apr 30, 2021
- 49
- 28
Naweza nikapata self ya 40000Mianzini mkuu
Naweza nikapata single self Cha Bei ya 40,000/=Mianzini mkuu halafu kuna opportunities nyingi ukiwa smart
Hapanaa..nenda tengeru kwa hio beiNaweza nikapata self ya 40000
Sasa mkuu naweza nikapata kwa shingapi.Hapanaa..nenda tengeru kwa hio bei
Kama 80,000 na zaidiSasa mkuu naweza nikapata kwa shingapi.
Hiyo Bei kiko kwenye fenceKama 80,000 na zaidi
Ya kupanga mkuu
Mkuu sijakuelewahuko kote hvyo sn ...majengo ndio kbsaaaa
Hapafai kwa mtu mstaarabu, hiyo mitaa imejaa vibaka na vichochoro vingiMkuu sijakuelewa