Mtaa upi Mzuri kati ya Majengo na Mianzini Arusha

Apr 30, 2021
49
28
Ndugu zangu Wana JF Naombeni ushauri wenu. Mimi Niko ARUSHA et mtaa mzuri Kati ya Majengo na Mianzini wapi pazuri na Bei ya vyumba hikoje.

Najua nimesomeka hapo juu. Naombe msaada.
 
Majengo ni mjiwakizaman lkn mianzin ni kama upo karibu na barabara na ni mjini
Ila nyumba za maeneo ya mjini ni za zaman,sana hazina ubora
 
Bora utafute kazi ya ulinzi ili usipange chumba uepukane na vibaka pia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom