[video]http://whatsappvidz.com/halima-mdee-atoa-maneno-machafu-kuhusu-magufuli-kupiga-push-up/[/video]
kunya anye kuku akinya bata kaharisha...
Hivi matusi hujibiwa na nini kama sio tusi?
Ccm karibia kampeni zote majujwaani wamekuwa wakiwatusi wenzao wa upinzani hususani lowassa, lakino wao kuguswa kidogo tu imekuwa nongwa...
Nimeipenda lami iliyoko kwenye barabara yao.
Hii ni ishara ya UKAKAMAVU kwa Amiri Jeshi Mkuu
Mnajifanya wakakamavu wakati mnaogopa hata kulinda kura?
Ulishawahi kusikia habari ya Polisi jamii? Uliwahi kupangiwa zamu ya kwenda sungusungu wewe?Ukijua division of labour huwezi kuhangaika kulinda kura tumeajiri askari na wanalipwa mishahara kwa kodi zetu sas tabu ya kukesha na kulinda kura ya nini? Anayekuambia ukalinde kura kakudharau na kukuona ni mpumbavu na ni lofa unakatwa kodi ili askari alipwe leo hii tena wewe umekuwa mlinzi !!!! hata kama una matope kichwani huwezi kukubali labda uwe chizi kabisa.
CMM NI ILE ILE, NI ILELE, WATATUKOMA CHAMOTO WATAKIONA
( ndo hayo hapo chini)
View attachment 301292
View attachment 301293
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..
Au ndo zitakazo leta maendeleo?
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..
Au ndo zitakazo leta maendeleo?
[h=3][/h]Hii ni ishara ya UKAKAMAVU kwa Amiri Jeshi Mkuu
Ulishawahi kusikia habari ya Polisi jamii? Uliwahi kupangiwa zamu ya kwenda sungusungu wewe?
Yaonekana u mtoto wala hujui kitu. Unadhani CCM wanapenda kuondolewa madarakani?