M morimaghita Member Joined Sep 18, 2018 Posts 58 Reaction score 45 Dec 31, 2018 #21 Eminem jr said: TUKUMBUSHANE kununua miswaki mipya mwaka 2019 Wengine humu hamnunui miswaki mipya mpaka uwanguke chooni Click to expand... Dogo unasubiri nini? Mbona una kipaji cha "kuona" weka bango la "mganga toka Nyanchabakenye" anaona wachawi,anaona"wachafu" anaogesha nyota !!!!! hii nayo "uppercut jab watu chaliii!!! kama Francis Cheka, yaani umetuwezaaaa!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Eminem jr said: TUKUMBUSHANE kununua miswaki mipya mwaka 2019 Wengine humu hamnunui miswaki mipya mpaka uwanguke chooni Click to expand... Dogo unasubiri nini? Mbona una kipaji cha "kuona" weka bango la "mganga toka Nyanchabakenye" anaona wachawi,anaona"wachafu" anaogesha nyota !!!!! hii nayo "uppercut jab watu chaliii!!! kama Francis Cheka, yaani umetuwezaaaa!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Dec 31, 2018 #22 Ambao hatuna miswaki hapo vp? Sent using Jamii Forums mobile app
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,206 Dec 31, 2018 #23 Write your reply...mpaka zile nyuzi ziishi zitoke karbia zote ndo nanunua mpya
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,214 Dec 31, 2018 #24 Sio mpaka uanguke chooni,mpaka ukatike brush zibakie mdomoni.. Sent using Jamii Forums mobile app
Eminem jr JF-Expert Member Joined May 21, 2018 Posts 2,006 Reaction score 4,617 Dec 31, 2018 Thread starter #25 Hawachi said: Mimi nataka kujua anaswaki wapi yeye kitandani au jikoni 🤣🤣🤣 Click to expand... Huwa naswaki kwenye meno
Hawachi said: Mimi nataka kujua anaswaki wapi yeye kitandani au jikoni 🤣🤣🤣 Click to expand... Huwa naswaki kwenye meno
Eminem jr JF-Expert Member Joined May 21, 2018 Posts 2,006 Reaction score 4,617 Dec 31, 2018 Thread starter #26 H Hawachi said: Mimi nataka kujua anaswaki wapi yeye kitandani au jikoni 🤣🤣🤣 Click to expand... Huwa naswaki kwenye meno
H Hawachi said: Mimi nataka kujua anaswaki wapi yeye kitandani au jikoni 🤣🤣🤣 Click to expand... Huwa naswaki kwenye meno
maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,096 Reaction score 4,758 Jan 1, 2019 #27 mimi nina miswaki miwili ghetto mmoja wangu mmoja kila demu anaekuja ghetto anautumia akidhania ni wa kwake Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nina miswaki miwili ghetto mmoja wangu mmoja kila demu anaekuja ghetto anautumia akidhania ni wa kwake Sent using Jamii Forums mobile app