Mswahili mvivu

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Mswahili mmoja mvivu sana alikwenda kwa kinyozi, alipokaa tu kwenye kiti kinyozi akamuuliza unataka kunyolewa ndevu au nywele? Mvivu akajibu ndevu, kinyozi akamwambia inua kichwa basi, jamaa kwa uvivu akamwambia basi nyoa kichwa.
 
Ujumbe uwafikie waswahili wote popote walipo ukanda wa pwani.
 
hahaaaa! hii nimecheka kaka/dada asante japo jioni yangu imekaa saf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…