mswada wa katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mswada wa katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ikizu, Nov 20, 2011.

 1. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu naombeni mnisaidie kupata nakala ya mswaada wa marekebisho ya katiba wa kiswahili uliopitshwa juzi. kuna moja nimeuona lakini hauonekani vizuri na ni vigumu ku uprint tafadhalini kwa usumbufu
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama wana jf hatunaayo nakala yake hadi sasa je Watanzania waliowengi hasa vijijini watakua wanafahamu nini humo?????
   
 3. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  poa maana nilitaka niutoe copy ili niwape wanafunzi wangu na jamaa zangu wapenda maendeleo na walio na uchungu na nchi hii.
   
 4. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwenye mitandao mingi naona za kingereza tu
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ndiyo silaha ya ccm ya kukubana usiupate maana ukiupata utajua maovu yao
   
Loading...