Mchezaji wa kimataifa mwangalia Simon Msuva leo hii ameinusuru TZ kupata aibu mbele ya Mgeni rasmi muheshimiwa Mwakyembe. Hongera sana Msuva kaza uzi but wanayanga tunakukumbuka sana hasa cross zako. Nawathilisha