Msusi wa dreads anahitajika Mwanza

Msusi wa dreads anahitajika Mwanza

newbeliever

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
248
Reaction score
48
Habari,

Nahitaji msusi wa dreads awe:
  • Anajua kubana style nyingi
  • Kutwist vizuri sana
  • Kufanya interlock
  • Kufanya dreadlocks extension
  • Na mengineyo
Vigezo
  • Awe tu mstaarabu, mwenye adabu na msikivu
  • Mwenye nia ya kazi
  • Anayeweza kufika kazini kila siku saa mbili kamili
  • Asiwe na tabia za utoro wa kila mara
Ofisi ipo Mwanza, Makoroboi

Mshahara/malipo tutaongea

NB: Sio lazima awe wa kiumem hata kama ni wa kike anafaa.

Umri awe kijana wa kawaida, mbaba au mmama hapana!

Mawasiliano: 0744597493
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom