Msusi anatafutwa.

Msusi anatafutwa.

Farudume12

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
621
Reaction score
352
Abari zenu wakubwa na wadogo.... natafuta msusi mwenye uwezo wakusuka style zote za mjini,
ikiwemo YEBO YEBO, MABUTU yanjia 2, na njia 3; afroking na mengine mengine. kwamawasiliano zaidi unaweza ukawasiliana na muusika kwenye namba 0620684677
NB: awemchapa kazi... mshahara siotatizo.
 
Back
Top Bottom