Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.
Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.
Maana nautaka urembo.
Ha ....Atakua ni wale wanaonuka panya.
Ila angekua ni mmasai kakuweka kwenye mapaja yke huku kende zikionekana usingeleta stori uku.
Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.
Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.
Maana nautaka urembo.
a.rahabu utakuta umemdamkia msusi wa watu asubuhi asubuhii hata hajaoga na kunawa vizurii utoko wakee!!hahaha
Hehhee polehh...tena mida hyo anasuka kisogoni lazima uso including pua ielekee maeneo nyetii

lol, ptuu!!