hao watanzania wamedurushwa kutoka mji wa mutepwezi.huo mji ni maarufu kwa biashara ya madini ambapo kuna migodi mikubwa ya madini ya ruby inapatikana maeneo hayo.Hata mi nimeshangaa hata lile Fly Emirates lingetimba Maputo.
Hahahahahahaahaha et chingaTumalize hilo zoezi kisha na sisi tuanze kazi, chinga wote wanaoishi hapa bila vibali kwao.
Mlipuko wetu tunamjua wenyewe kama hataweka kisasi na hawa chinga nitamshangaa sana
hao watanzania wamedurushwa kutoka mji wa mutepwezi.huo mji ni maarufu kwa biashara ya madini ambapo kuna migodi mikubwa ya madini ya ruby inapatikana maeneo hayo.
huo mji upo karibu na mtwara kuliko hata maputo.ni kama unaongelea arusha kwa nairobi huwezi pitia dar.
na pia huo mji unaongoza kwa kuwa na wageni wengi sana.watanzania wanakadiriwa wapo zaidi ya 3000 alafu ni kamji kadogo tuu.imagine impact yake
Huko walipokuwepo kulikuwa na uwanja wa ndege? Au ulidhani Bombardier inatua juu ya minazi?Bombadear vipi ni aibu kuwabeba ndugu zetu kwa ma Truck wakati tuna ndege na tungekuwa tumewaonesha jeuri wamakonde Wa msumbiji am sure wataendelea kutudharau