Lilikuwa vivu sana hili jamaa,ni maajabu kupewa ukiranja wa jiji namba moja Tz.Bashite on da bed!!! Kwa mbaaaaali
Mkuu hiyo kiumbe iliitwa Unguided missile jamaa hakukosea kila anapokuwa lazima mambo yaharibike.Lilikuwa vivu sana hili jamaa,ni maajabu kupewa ukiranja wa jiji namba moja Tz.
View attachment 473909