Mstakabali wa nchi yetu Askofu Kakobe

Mstakabali wa nchi yetu Askofu Kakobe

GBBS

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
97
Reaction score
48
Kesho Jumapili 20.04.2014 kuanzia saa 3 asubuhi,FGBF Mwenge Dar es salaam, Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe na ambaye pia ni Mhubiri wa Kimataifa atafundisha maelfu elfu na kuwabariki wote watakaohudhuria.Pia atatoa maarifa ya msingi juu ya mambo kadhaa kuhusiana na nchi yetu ya Tanzania na yale yanayoendelea kwasasa.
 
Attachments

  • Bishop kakobe with huge crowd2.jpg
    Bishop kakobe with huge crowd2.jpg
    74.1 KB · Views: 243
Kesho Jumapili 20.04.2014 kuanzia saa 3 asubuhi,FGBF Mwenge Dar es salaam, Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe na ambaye pia ni Mhubiri wa Kimataifa atafundisha maelfu elfu na kuwabariki wote watakaohudhuria.Pia atatoa maarifa ya msingi juu ya mambo kadhaa kuhusiana na nchi yetu ya Tanzania na yale yanayoendelea kwasasa.

Mkuu hii taarifa watawala hawataki kusikia hivyo wameagiza media kuinyima coverage mimi ningeshauri Ukawa wafike hapo wapate mahali pa kuanzia baada ya kuzuiliwa Zanzibar
 
Kuinyima coverage!!!!!!?????? Hawa jamaa bado wanaishi enzi za ujima! Nyakati za kizazi hiki cha dot com, hakuna unachoweza kukificha kisiwafikie wananchi!
 
Siyo kesho tena, ni leo!!! Ngoja niende kuona kama ni yaleyale ya Mtetemela, au la!!!!!????
 
Back
Top Bottom