Mstaafu Baba wa Taifa Mdogo akabidhiwe kumnadi Mgombea wetu

1000041325.jpg
 
Eti baba mdogo wa taifa 😹😹😹
Ila mkwele anazingua sana, hivi umri ule bado ana nguvu kweli za kupanda mlima Kilimanjaro 😹
 
Kumnadi kushindana na upepo au? Waoneeni waTanzania huruma jamani; kwani lazima afanye kampeni hata kama hashindani na mtu?
Uzalendo wake uko wapi? Au imeishia kwenye mabango? Hizo pesa za kampeni kanunueni Madawati au vifaa vya kufundishia watoto wetu wapate maarifa.
Perekeni kiasi kidogo pale shule ya Msingi Bunge karibu na Ikulu ya Dar...shule ile ina hali mbaya sana.
 
Wagombea kutoka vyama vya upinzani;
1. Prof Ibrahim H. Lipumba (PhD),
2. Adv. Hashimu Rungwe Spunda (CHAUMMA),
 
Back
Top Bottom