inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 638
- 705
Wadau salam.
Poleni na shughuli za kulijenga taifa.
Nina Suzuki Swift 2008 gearbox ni CVT.
Nimebadili gearbox,seal ya kwenye pump pale mbele ikawa inavuja.Tukaibadili tena kama mara tatu lakini bado inavuja.
Maoni yamekuwa mengi.
Moja,naambiwa pump imekufa.Na naambiwa kufa kwa pump ni bush kutanuka hivyo kusababisha seal kuvuja.Japo hili siliamini sana sababu naiona kama bush iko poa tu.
Mwingine anasema seal nayotumia siyo sahihi.Seal oroginal ilikuwa na threads/michirizi kwa ndani wakati tunawzoweka ziko smooth
Kwa hiyo naambiwa hiyo ndo sababu hivyo nitafute seal yenye michirizi.
Wadau watalaam hebu naombeni ushauri katila hili
Mchango wako umathaminiwa.