Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
Jamaa aliagiza mtori uliochanganywa na utumbo wa mafuta. wakati anakula Alipofikisha bakuli katikati akawa anatafuna nyama moja haitafuniki akainyonya majmaji yote, kisha akaitema mkonon ili kujua kulikoni, kuangalia vizur ni ""."'KONDOM"'!...kama ni wewe ungefanyaje na mtori umeugonga ile mbaya umebaki kidogo tu tiririka..,