Ingawa watu tunatofautiana but kuna some points tunafanana. Binafsi sio rahisi kuvurugwa kimawazo na mtu kutokana na kuwa naamini kila mtu ana weaknesses zake including me. Yote uliyoyataja hapo juu napractice kulingana na situation but linalofanya kazi ni muda. Kujipa mda kabla ya kureact na sometimes nalazimika kupanga hata safari ili kupitisha mda kabla sijaamua...
hii huwa naipenda sana. Inanisaidia kujitafakari....Sumu ya kwanza ukiwa na mawazo ni kukaa alone, unaanza kuona mauza uza na watu wenye mapembe.
Sometimes ni bora kujitenga na mtu anayekusababishia msongo wa mawazo, vingivyo you will be dragged down. Sumu ya kwanza ukiwa na mawazo ni kukaa alone, unaanza kuona mauza uza na watu wenye mapembe.
Njia rahisi, kaa na watu, chagua watu unaowaamini uwashirikishe shida yako.
Kumbe hujanimensheni?

hii huwa naipenda sana. Inanisaidia kujitafakari....
Huwa kitu cha kwanza kukifanya ni kujifungia na kulia sana, yaani nalia mpaka nione nimetosheka......
Ninapomaliza hapo huwa naanza kutafakari kilichotokea, naweka issue kwenye angle zooteee. najaribu kujiweka kwenye shoes za aliyenitenda, kama ningekuwa mimi ningefanya hivyo? namuhukumu na kumtetea mimi mwenyewe. Nikijiridhisha naanza kusali, kwenye process nampa msamaha (ndani ya moyo wangu). Nikishamsamehe nakutana naye kumtaarifu nimemsamehe na kujadili the way forward (kuendelea au kummwaga).

Unalia umekuwa mtoto?hii huwa naipenda sana. Inanisaidia kujitafakari....
Huwa kitu cha kwanza kukifanya ni kujifungia na kulia sana, yaani nalia mpaka nione nimetosheka......
Ninapomaliza hapo huwa naanza kutafakari kilichotokea, naweka issue kwenye angle zooteee. najaribu kujiweka kwenye shoes za aliyenitenda, kama ningekuwa mimi ningefanya hivyo? namuhukumu na kumtetea mimi mwenyewe. Nikijiridhisha naanza kusali, kwenye process nampa msamaha (ndani ya moyo wangu). Nikishamsamehe nakutana naye kumtaarifu nimemsamehe na kujadili the way forward (kuendelea au kummwaga).
……hahahaha, Kongosho jamani, si nimeandika 'na kwa wote wanaohusika na mada nzito!'
Hiyo in a manna Including You, ningewataja wote ninaowaaminia kwa hoja nzito mbona ukurasa ungejaa!
Ulichoandika ni sahihi kabisa,
Hilo la kuchagua watu unaowaamini uwashirikishe shida yako japo,
kwakuanzia ni aheri uchague watu Sahihi, maana si kila unayemwamini atakuwa mtu sahihi
kukupa ushauri sahihi kulingana na matatizo yako.
Kuhusu kujitenga peke yako, ndio tunarudi kwa Bro Tuko na hoja zake, uwezo wa mtu binafsi
kuchanganua baya na zuri, lipi aanze nalo na lipi alisubirishe, nk….
maana kama ulivyoandika, kuna watu wengine LONELINESS ndio tatizo zaidi kuliko akiwa kazungukwa na watu.
Je, unaonaje tactic ya #kumface huyo anayeku drag down badala ya kumkimbia kimbia?
Njia mojawapo ya kupambana na Bully, ni kukabiliana nae….au?
Japokuwa hajakumensheni lakini umeandika mapwenti ya nguvu. #team_Zombie
kila mtu ana namna yake ya kukabiliana na msongo wa mawazo, siyo sababu mimi kukaa mwenyewe inanisaidia basi na wengine pia watumie hiyo.
Sikuhukumu, tunajadiliana njia mbali mbali za kui-tame akili kupambana na Usongo wa Mawazo
kutokana na 'dharura' na majanga mbali mbali yanayoweza tokea.
ukiona bado hujalipuka ujue maumivu hayajafika sehemu yake.... yanaweza yakaja taratibu ukayapuuzia huku ukiyaweka kichwani lakini siku yakilipuka ndo utakapoona kila rangi.... huo ndo muda ninaoutumia hasa kuwa mwenyewe. na inanisaidia.Nina miaka mingi sijalia, kweli ukiona yatima ana ndevu basi moyo una mvi.
Maumivu yanayosababisha msongo wa mawazo mara nyingi huwa ni mauzmivu ya muda mrefu, wakati mwingine ni kitu kinachotokea kwa mchakato wa taratubu hata inakuwa ngumu kugundua kuwa kinakuletea msongo.
Sasa sijui utajitengaje na watu ili upate wasaa wa kulia. Unapokuwa natatizo lazima kuna muda ule wa mwenyewe kutafakari na kuumia kabla hujakata shauri la kushirikisha watu au kufanya maamuzi.
Watu wengi wanajiua huwa wanakuwa na dalili za kujitenga, ndio maana unapokuwa na msongo wa mawaza unashauriwa kukaa na watu. Ni hatari kuwa na msongo mkali afu ukakaa peke yako.
rafiki, believe me usingejiua.....Nilishapatwa na hii kitu, na ilikuwa ngumu. Niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada na nikawa mtu wa kukaa ndani tu. Nilikuwa nasoma kila kitabu, jarida au kitu chochote kilicho mbele yangu kama njia ya kujidistruct.
Ilibaki nusura niolewe na mtu just for the sake of it, namshukuri dada aliniokoa tena na hilo.
Recently yakipandana sana kichwani, naishia kusali tu (kufunga, novena etc). Anyway, mimi sio mtu sana wa kuyatoa kwa mtu mwingine yale yanayonisumbua hasa, nikishare ni ya juu juu tu na mostly kwa ajili ya kumfanya mtu aone namtegemea. So l think nikiacha kusali, au nisingekuwa na mtoto ninayempenda sana, huenda nami ningekuwa candidate wa suicide.