Msomali

Mentor nakubali sana tungo zao, zinaelimisha, kufundisha na kuburudisha pia, Mungu akubariki sana ktk kipaji chako
 
maisha haya, watu huwa tunaachana na tuwapendao kwa visa vidogo sana. kawape pindi vijana wanakusubiri msomali acha apambane na khali yake.
 
Ki ukweli hii stori inafundisha sana , ila mabinti wa kisasa wanapenda sana miterezo si ajabu mkasota wote akaja kukuacha baada ya kukutana na mhuni tu aliye azima gari kwa baba yake akakuacha wewe uliye na baiskeli yako , asante mtoa mada
 
Mmmmh!! Na wanaume wanaosota na wake zao alafu wakizipata wanawageuka wake zao unawaweka kundi gani!!
Unafikiri hata ongezeko la vijana wadogo kuwakimbilia wanawake wenye umri sawa na mama zao kisa ni nini kama sio kupenda mtelezo?
 
Back
Top Bottom