Msomali

Hahahahhaa we jamaa umenikumbusha wakati nasoma sekondari miaka hiyo somo la kiswahili kipengele uchambuzi wa vitabu - riwaya na kitabu chenyewe kilikuwa Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe.

Mwalimu alikuwa anaitwa Mr. Mukebezi ..... heheheheh
Kilichonifanya nikumbuke ni kuwa kila akiingia darasani wakati tunajadili hicho kitabu alikuwa na maneno/maswali lazima ayaseme/ayaulize kabla
ya kuanza kufundisha.

Alikuwa na lafudhi ya kilugha cha kabila lake... wale wa kanda ya ziwa. In his voice alikuwa anauliza hivi......

Mukebezi: leo tunasoma kitabu gani?
Darasa: Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
Mukebezi : Dhamira kuu ni nini?
Darasa: Mapenziiiiiii.....

Basi baba Mukebezi alikuwa anafurahiii na hadi tumemaliza kujadili hiko kitabu na kuhamia kitabu kingine bado alikuwa anataka akiulizwa. ... dhamira kuu ni nini....... darasa lijibu Mapenziiiiiiiii

Wacha niendelee kuburudika na hili jinyimbo.....

..... baby PANA...... baby PANA. ...... (being in love with the music....)

It's Friiiiddaaaaayyyyyyyyyy!!!!!!!!! iiiiiiimooooooooo....!!!
 
Wacha niendelee kuburudika na hili jinyimbo.....

..... baby PANA...... baby PANA. ...... (being in love with the music....)

It's Friiiiddaaaaayyyyyyyyyy!!!!!!!!! iiiiiiimooooooooo....!!!


Najua umependa hapa tu...


"Baby Pana
They say you like cassava
I get big cassava
Baby Pana"
 



Duh haka kawimbo kumbe katamueee. Asante sana Kasinde!

Halafu kanafaa ku-DAB nako yani mpaka raha.



Dedication kwa all man utd fans...@belo, herrera, RRONDO, everlenk, BelindaJacob , billduke, Iceman 3D , Bavaria, Bailly5 , sister, et al..


Special dedication: Heaven Sent - we got you sis!!!! [HASHTAG]#pana[/HASHTAG]

Kawimbo katamu kinoma noma.
Jamaa hajawahi kukosea...alivyo na mambo makubwa anayoyafanya wala haviendani.

Ooooh ngoja nami niudedicate to all Arsenal fans
BAK
mauzauza
UrbanGentleman
Kazitunayo
Aaron
mtoto wa afrikaa
Richard
Na wengine wooooote!

Ila Mentor wewe si Chelsea?Au nimepoteza kumbukumbu?

Weekend njema.
 
Duuuh mbona hii stori kama ya Honey Faith na RRONDO!???

Anyway, to be honest inashtua! Duh mi sijui vijana huwa tuna tatizo gani...ni wepesi sana kumwaga ndani ila inapokuja kulea matokeo tunakuwa wagumu sana aisee..I don't know why!!!
Woga tu wa maisha Kiongozi. Mi wangu wa ujanani wala sikumkataa, na niko naye bega kwa bega mpaka leo hii. Yuko Form 4 (boarding) mwaka huu, na she id doing the best katika darasa lake. Nilimwambia niliyekuja kumuoa kuwa, huyu ni wakwetu, akalitambua hilo. Na ssa maisha yansonga.
 
Ila kama ni kigugumizi mbona wengi huwa hawajirudi baada ya muda?

Ninafahamu wadada wengine watatu ambao mpaka sasa watoto wana - miezi 9, miaka 2, miaka 5 - na hao wanaume mpaka leo hawajui watoto wao wakoje!
inawezekana kabisa usemacho....
 
Thanks Nifah.... zilipendwa lakini bado huwanyanyua watu kwenye viti vyao kwa wingi sana, Arsenal oyee. Kesho ushindi mwingine si chini ya goli 3.



Kawimbo katamu kinoma noma.
Jamaa hajawahi kukosea...alivyo na mambo makubwa anayoyafanya wala haviendani.

Ooooh ngoja nami niudedicate to all Arsenal fans
BAK
mauzauza
UrbanGentleman
Kazitunayo
Aaron
mtoto wa afrikaa
Richard
Na wengine wooooote!

Ila Mentor wewe si Chelsea?Au nimepoteza kumbukumbu?

Weekend njema.
 
Nifah I know your love is beutiful ila unaniacha hoi pale ninapoomba kwa vitendo..najua mvumilivu hula mbivu..acha tusubiri wasaa mzuri
 
Back
Top Bottom