waambie haooo wamezidi
na watanyimwa tu maana leo arsenal wamepigwa kimoja kama cha nguruwe ndio wanyimwe tu maana tumeshachoka.Wiki kadhaa zilizopita baada ya Arsenal kupigwa na Chelsea, akina dada walilalamika kuwa waume zao hutoka na stress za mpira hadi nyumbani, halafu wanawanyima........kuna hatihati leo wakanyimwa pia. Tukumbushane tu jamani, ya mpira yabaki mpirani. Wapeni haki yao.
na we umewahi ku experience hiyo adha
Mie na mama watoto wangu ni fans wa Man utd,leo kwa raha zetu!
we acha tu!!!