Chondechonde!! kwa wale wanaowakataa watoto wao wakiwa tumboni au baada ya kuzaliwa hasa wanaume. jamani mnawapa shida watoto wenu. Roho za kukataliwa zinawatesa sana!! Hata ukijamkubali baadae kwamba ni mtoto wako, wewe mwenyewe(mzazi) utaona kama hakujali, hakuheshimu(mtoto) vile. Kumbe sivyo ni ile roho inakutesa mzazi. Kwa hiyo kama uko responsible na ujauzito wewe kubali kulea kwani hukujua matokeo yake? Usimkane mtoto hata kidogo ni mbaya sana!

Tatizo liko hapo,hakuan uhakika kama kweli hiyo mimba ni ya mlengwa. mfano mimi huwa siwaamini wanawake kwenye hayo mambo kwa hiyo ikiokea issue ya mimba lazima ntakua na mashaka na kujiuliza maswali mengi. mambo ya kulengeshana nani anayataka,upachikwe mimba na mshkaji mwingine uje kunipakazia nani anataka

Izo sababu za kijinga kwani DNA maana yake nini kuna jamaa aliwai kufanya ivyo 20 yrs ago na sasa ni mzee hana hata wa dawa na yule alir mkataa ni photocopy yake mama wa mtt alimjibu tu kama umekataa huyu mtt wako mungu atakupa zaidi ya huyu tena wazuri ilikuwa ni laana kubwa mpaka leo namjua mpaka mkewe sio vizuru tu kuwaanika humu ndani.
Kwani hadi upakaziwe unakuwa hujashiriki nae mchezo?
In red. Sawa
In blue: Unawezaje kupima DNA ya mimba ya mwezi mmoja au wiki kadhaa ili kujiridhisha kua kweli mtoto alieko tumboni ni wako ili ulee mimba?Je nikubali tu kua mimba nimeitungisha mimi alafu mtoto azaliwe awe ni wa mtu mwingine je utanilipa fidia?.
In green: Sio kila mtu itamtokea na haina uhusiano na kukataa mimba.
yamekukuta dada...
Kwani hadi upakaziwe unakuwa hujashiriki nae mchezo?
Muache kupanga wanaume hadi unakuwa hujielewi mimba ya nani, unabambikia tu mwenye afueni ya maisha.
Izo sababu za kijinga kwani DNA maana yake nini kuna jamaa aliwai kufanya ivyo 20 yrs ago na sasa ni mzee hana hata wa dawa na yule alir mkataa ni photocopy yake mama wa mtt alimjibu tu kama umekataa huyu mtt wako mungu atakupa zaidi ya huyu tena wazuri ilikuwa ni laana kubwa mpaka leo namjua mpaka mkewe sio vizuru tu kuwaanika humu ndani.
stable woman inamaana mtu akishiriki na ww tendo tayar ndio mwenye mimba?