The Geography:Hii ni sehemu yenye baridi na mvua nyingi.
The History: Hii sanamu ilianguka/angushwa na kuachwa hapo chini.Kwa sababu ya unyevunyevu mwingi ukungu(moss) ukaota. And that is the end of the story.

Hebu fikiria usiku unatembea msituni huku ukiwa unamulika tochi yako ghafla unakutana na sanaa kama hiyo ukiwa umemmulika usoni, si unaweza ukapiga mayowe "jamani nakufa"